NJIA ZITAKAZOKUSAIDIA KUTAKATISHA MENO



  1. Baking soda
Sugua meno kwa dakika zisizopungua mbili kwa kutumia mchanganyiko wako wa baking soda na limao au baking soda na majialafu nawa baada hapo.Fanya jaribio hili kwa wiki mara moja kwa mwezi mzima.
NOTE: Unaweza kuchanganya baking soda na vitu tofauti kama inavyooneshwa kweny picha...Chagua kitu ambacho kwako ni rahisi kuvipata ila vyote vinapatikana madukani.Hydrogen peroxide unaweza kuipata kwnye maduka ya dawa 3% hydrogen peroxide


2. Ganda la Ndizi/ Chungwa
Chukua ganda la ndii au chungwa, sugua kwenye meno upande wa ndani wa ganda lako la ndizi au chungwa utachagua moja wapo.Baada ya hapo subiria kwa dakika 10 alafu piga mswaki.Kwanini utumie ganda la ndizi au chungwa? kwa sababu madini na vitamini zilizopo katika maganda hayo itakusaidia katika kung'arisha meno yako.
 

😆😆😆😆Kwahiyo kuanzia leo jamani usitupe ganda la ndizi au chugwa

3. Apple cider vinegar na limao
Kamua takribani 1/4 ya limaolako na chukua apple vinegar yako weka vijiko viwili vya chakula katika kibakuli kilichokua na limao au ndimu. Chukua mswaki wako chota mchanganiko huo na ssugua meno yako pia unaweza kuwaka dawa yako wa meno unayotumia kila siku katika mswaki wako lakini ukamiminia mchanganyiko huo wa limao na vinager na kupiga mswaki kama kawaida.Suua meno yako vizuri. Mchanganyiko huo utasaidia kuondoa uchafu wote uliopo kweny meno na madoa.
TAHADHARI: Asidi ikizidi inaweza kuharibu meno yako , kwa hiyo usirudie matibabu haya zaidi ya mara moja katika week.

Unaweza kutapa aina hizi za vinegar kwenye supermarket iliyo karibu nawe.Itaendelea..............

Comments

Popular Posts