Karibu
Karibu katika page ya urembo.Page hii inazungumzia vitu mbalimbali hasa katika UREMBO ule wa asili
- Ni jinsi gani utaweza kutumia vitu vinavyokuzunguka katika urembo.Kumekuwa na magonjwa mengi sana ya ajabu yanayoibuka na usababishwa hasa na kemikali kali zipatikanazo kwnye vipodozi has kansa..Kwanini uteseke kutumia vitu vikali katika kupendezesha ngozi yako wakati unaweza kutumia vitu vya asili na venye gharama ya chini sana katika kupendezesha ngozi yako ya kiafrika.
- Nazi,Mchele,Asali,Ndimu,Kitunguuu,Mitindi, Tangawizi,Kiazi n,k,vitu vipo vingi sana ambavyo vinaweza kukusaidia katika kulinda urembo wako wa asili na kuonekana mrembo mbele za watu
BASI UNGANA NAMI KATIKA KUKULETEA UREMBO WAASILI NDANI YAUREMBO WAKIAFRIKA (African Natural beauty)
Comments
Post a Comment